Wednesday, August 17, 2011

SPURS WAPO KATIKA MAZUNGUMZO YA KUMSAINI ADEBAYO

TOTENHAM HOTSPURS WAMETHIBITISHA KUWA WAPO KATIKA MPANGO WA KUMSAINI MCHEZAJI WA KIMATAIFA WA TOGO, EMANUEL ADEBAYO AMBAYE KWA MUDA MREFU AMEKUWA HANA MAWASILIANO MAZURI NA KLABU YAKE YA MANCHESTER CITY.

No comments:

Post a Comment