KOCHA mkuu wa timu ya Taifa ya Marekani, Jurgen Klinsmann ameita wachezaji 24 ambao watacheza mechi za kirafiki mwezi ujao. Katika kikosi hicho ambacho kitacheza michezo ya kirafiki na Costa Rica na Ubelgiji kimechanganyika na sura ngeni nyingi huku mtoto wa kocha wa zamani wa timu hiyo Michael Bradley akiachwa katika kikosi hicho. Kikosi kamili ni kama ifuatavyo;
GOALKEEPERS (2): Bill Hamid (D.C.United), Tim Howard (Everton)
DEFENDERS (9): Carlos Bocanegra (Rangers), Edgar Castillo (Club America), Timmy Chandler (FC Nürnberg), Steve Cherundolo (Hannover), Clarence Goodson (Brondby), Zach Loyd (FC Dallas), Michael Orozco Fiscal (San Luis), Heath Pearce (Chivas USA), Tim Ream (New York Red Bulls)
MIDFIELDERS (9): Kyle Beckerman (Real Salt Lake), Clint Dempsey (Fulham), Maurice Edu (Rangers), Fabian Johnson (Hoffenheim), Sacha Kljestan (Anderlecht), Jeff Larentowicz (Colorado Rapids), Robbie Rogers (Columbus Crew), Brek Shea (FC Dallas), Jose Torres (Pachuca)
FORWARDS (4): Juan Agudelo (New York Red Bulls), Jozy Altidore (AZ Alkmaar), Teal Bunbury (Sporting Kansas City), Landon Donovan (Los Angeles Galaxy)
No comments:
Post a Comment