Saturday, August 27, 2011

MECHI YA SIMBA NA COASTAL UNION YAINGIZA MILIONI 33

Jumla ya shilingi 33milioni zilipatikana katika mechi ya Ligi Kuu kati ya Simba dhidi Coastal Union iliyofanyika Jumatano na Mnyama kuibuka na ushindi wa 1-0 kwenye Uwanja wa Mkwakwani jijini Tanga.

No comments:

Post a Comment