Sergio Aguero, silaha mpya ya maangamizi ya Man City KOCHA WA MANCHESTER CITY ROBERTO MANCINI, AMESEMA SERGIO AGUERO NI 'KIVULI' CHA MCHEZAJI WA ZAMANI WA BRAZIL ROMARIO, BAADA YA MCHEZAJI HUYO KUFUNGA MABAO MAWILI KATIKA MCHEZO WAKE WA KWANZA WA LIGI KUU NCHINI ENGLAND WAKATI MAN CITY WALIPOITANDIKA SWANSEA MISUMARI 4-0. AGUERO ALIFUNGA MABAO MAWILI NA KUTENGENEZA MENGINE MAWILI KATIKA MCHEZO AMBAO MAN CITY WALICHEZA NYUMBANI. AGUERO AMBAYE AMEIGHARIMU MANCHESTER CITY PAUNDI MILIONI 38 ANAONEKANA NI MOJA YA NGUZO MUHIMU KWA SASA NDANI YA ETIHAD!
No comments:
Post a Comment