Danny Welbeck na Ashley Young wakishangilia ushindi walioupata jana
Kwa mara nyengine tena hapo jana usiku, mabingwa wa kihistoria wa ligi kuu nchini England, Manchester United wameendeleza ushindi wa pili mfululizo katika ligi kuu nchini England baada ya kuizibua Tottenham misumari mitatu kwa ubuyu, mabao ya Manchester United yaliwekwa katika nyavu na Danny Welbeck dk61, Anderson dk76 na Wayne Rooneydk87. msimamo mpaka sasa wa ligi kuu nchini England ni kama ifuatavyo;
No comments:
Post a Comment