Friday, August 19, 2011

BAADA YA KUMNASA RADAMEL FALCAO, ATLETICO MADRID WAMPIGA MNADA DIEGO FORLAN KWA INTER MILAN!

KLABU YA ATLETICO MADRID, JANA WAMETANGAZA KUMNYAKUA MSHAMBULIAJI WA KIMATAIFA WA COLOMBIA ALIYEKUWA AKIKIPIGA KLABU YA FC PORTO YA NCHINI URENO, BAADA YA HATUA HIYO KLABU HIYO SASA IPO TAYARI KUMUUZA MSHAMBULIAJI WAKE RAIA WA URUGAY, DIEGO FORLAN KWA KLABU YA INT MILAN YA ITALI.

No comments:

Post a Comment