KLABU YA CHELSEA IMETHIBITISHA KUWA NDOTO ZAKE ZA KUMSAINI MCHEZAJI WA KIMATAIFA WA UBELGIJI ANAYEKIPIGA KATIKA KLABU YA ANDERLECHT, ROMELU LUKAKU ZIMEKAMILIKA BAADA YA KUMNASA MCHEZAJI HUYO ADA YA UHAMISHO YA EURO MILIONI 25
"NDOTO ZANGU ZANGU ZIMEKAMILIKA" ALISEMA LUKAKU ALIPOKUWA AKIZUNGUMZA NA TOVUTI YA KLABU YA CHELSEA.
No comments:
Post a Comment