MVUTANO WA KIMASLAHI WACHELEWESHA LGI KUU NCHINI HISPANIA
'LA LIGA' LIGI KUU NCHINI HISPANIA ILIYOKUWA IANZE RASMI HAPO KESHO SASA IMEAKHIRISHWA KUTOKANA NA MVUTANO ULIOJITOKEZA KATI YA CHAMA CHA WACHEZAJI (AFE) NA WASIMAMIZI WA LIGI NCHINI HUMO (LFP). LIGI KUU NCHINI HISPANIA ILIKUWA IANZE KESHO, LAKINI KUTOKANA NA KUTOKUFIKIA MAKUBALIANO KATI YA PANDE HIZO MBILI LIGI HIYO SASA IMEAKHIRISHWA.
No comments:
Post a Comment