EUROPA LEAGUE: NACIONAL, BIRMINGHAM NUVU SAWA, TOTENHAM YAFANYA MAAFA!
Klabu za Birmingham na Nacional zimekwenda sare ya tasa katika mchezo wa ligi ya uropa uliosukumizwa jana, kwa upande mwengine klabu nyengine kutoka England, Totenham Hotspurs wameifanyia maafa mazito klabu ya Hearts kutoka Scotland baada ya kuizibua misumari 5-0, mabao ya Totenham yakiwekwa katika kamba na Rafael van der Vaart dk5, Jermain Defoe dk13, Jake Livermore dk28, Gareth Bale dk63 na Aaron Lennon dk78.
No comments:
Post a Comment