Monday, August 15, 2011

KWAHERI FABREGAS ARSENAL.................

Hapa ilikuwa ni sherehe za kombe la dunia 2010 wachezaji wa Hispania wakijaribu kumvalishasha jezi ya Barcelona kwa nguvu 
CESC FABREGAS NI MCHEZAJI HALALI WA BARCELONA, AMESAINI MKATABA WA MIAKA MITANO ILIKUWA KAMA MASIHARA LAKINI KWA SASA NI KWELI KABISA!

1 comment:

  1. NI FURAHA KWA WAPENZI WA BARCELONA, NI MAJONZI KWA WAPENZI WA.......

    ReplyDelete