Friday, August 26, 2011

NASAHA ZANGU KWA WANAMICHEZO WENZANGU!

Mambo Matatu Yanayofuatia Ramadhaan: Zakaatul-Fitwr, 'Iydul-Fitwr Na Swawm Ya Sittatush Shawwaal

Tunakaribia kumaliza mwezi Mtukufu wa Ramadhaan na mambo matatu yafuatayo ya muhimu yanayotukabili yanapasa kuzingatiwa ili tukamilishe Swawm zetu ipasavyo na tupate fadhila zake.
1- ZAKAATUL-FITWR  
Inaitwa Zakaatul-Fitwr (Zakaah ya Kufuturu au Kufutari) kutokana na kumalizika Swawm ya Ramadhaan. Imefaridhiwa mwaka wa pili wa Hijrah katika mwezi wa Ramadhaan.
Hikma Yake:
Ni kutwaharisha Swawm ya Muislamu kutokana na maneno machafu, ya upuuzi wakati alipokuwa amefunga kwa kulisha maskini chakula ili nao wapate chakula kizuri siku ya ‘Iyd. Ndio maana kutolewa kwake kunakuwa kabla ya kuswali Swalaah ya ‘Iydul-Fitwr. Dalili ifuatayo inathibitisha:
Tangazo


Makala
 
Zingatio

Ya Ar-Rahiym, Tukubalie Swawm Zetu

Sifa zote njema Anastahiki Allaah Aliyetukuka Mola wa walimwengu wote, Swalah na salamu zimshukie kipenzi chetu Mtume Muhammad (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) na Swahaabah zake (Radhiya Allaahu 'anhum) na watangu wema mpaka Siku ya Mwisho.

Sikiliza Mawaidha Na Qur-aan

Tazama Video

Maswali

Mapishi

 

Alhidaaya.com

No comments:

Post a Comment