Hatimae baada ya kusahaulika kwa muda mrefu katika kikosi cha timu ya taifa ya BRAZIL, mshambuliaji wa zamani wa taifa hilo Ronaldo de Assis Moreira (RONALDINHO) amejumuishwa katka kikosi cha BRAZIL kwa mara ya kwanza baada ya zaidi ya miezi nane ambacho kitavaana na GHANA mwezi ujao, kwa upande mwengine mlinzi wa Timu hiyo Maicon Douglas Sisenando ameachwa kutokana na majeruhi wachezaji waliotajwa katika kikosi hicho kitakachovaana na GHANA ni; Goalkeepers: Julio Cesar, Fabio, Jefferson
Defenders: Daniel Alves, Thiago Silva, David Luiz, Adriano, Danilo, Dede, Lucio, Marcelo
Midfielders: Lucas Leiva, Paulo Henrique Ganso, Ronaldinho, Elias, Fernandinho, Lucas, Ralf, Luiz Gustavo
Strikers: Robinho, Neymar, Alexandre Pato, Hulk, Leandro Damiao.
Mchezo utachezwa Fulham's Craven Cottage on Sept. 5.
No comments:
Post a Comment