Thursday, August 25, 2011

BREAKING NEWS!! MVUTANO WA LFP NA AFE WAMALIZIKA, SASA LA LIGA KUANZA RASMI AGOSTI 27

 BARCELONA


REAL MADRID
MVUTANO MKALI KATI YA CHAMA KINACHOSIMAMIA HAKI ZA WACHEZAJI NCHINI HISPANIA AFE NA WASIMAMIZI WA LIGI KUU NCHINI HUMO LFP AMBAO UMEPELEKEA KUAKHIRISHWA KWA LIGI KUU NCHINI (LA LIGA) HUMO ILIYOKUWA IANZE AGOSTI 20 MWAKA HUU SASA UMEMALIZIKA. MKUTANO WA PAMOJA ULIOMALIZIKA SAA CHACHE ZILIZOPITA KATI YA PANDE MBILI HIZO ZINAZOVUTANA WAMEKUBALIANA KIMSINGI KUMALIZA TOFAUTI ZAO NA HIVYO SASA LIGI KUU NCHINI HUMO INATARAJIWA KUANZA RASMI AGOSTI 27 MWAKA HUU.

No comments:

Post a Comment