Bondia Francis Cheka amefanikiwa kumshinda bondia Mada Maugo kwa pointi.
Pambano hilo lilichezeshwa na waamuzi toka chama cha TPBC lisilokuwa la ubingwa, walimpa ushindi cheka kama ifuatavyo;
Mwamuzi wa kwanza alitoa matokeo yanayofanana kwa mabondia wote 98-98.
Jaji wa pili alimpa Cheka ushindi wa pointi 99-98.
na jaji wa tatu alimpa Cheka ushindi wa 100-98.
No comments:
Post a Comment