Sir Alex Ferguson.
Mshambuliaji wa Manchester City Edin Dzeko.
Kocha wa timu ya Manchester United, Sir Alex Ferguson, ametangazwa kuwa Meneja wa mwezi Barclays Premier League kwa mwezi wa nane, hii ikiwa ni mara ya 26 kwake kushinda tuzo.
Na kwa upande mwingine Mshambuliaji wa Manchester City Edin Dzeko, amechaguliwa mchezaji bora wa mwezi wa August na kushinda Tuzo hiyo upande wa wachezaji .
No comments:
Post a Comment